Golikipa wa timu ya taifa ya Argentina Emiliano Martinez amesema kua nahodha wa timu hiyo Lionel Messi anawapa faida zaidi ya kushinda mchezo wa fainali dhidi ya timu ya taifa …
Makala nyingine
Timu ya taifa ya Croatia imefanikiwa kuibuka mshindi wa tatu kwenye michuano ya kombe la dunia baada ya kuifunga timu ya taifa ya Morocco kwenye mchezo wa mshindi wa tatu …
Kocha wa zamani wa klabu ya Arsene Wenger amesema kiwango kikubwa ambacho anaonesha kwenye michuano ya kombe la dunia kinaonesha mageuzi ya mpira wa miguu. Kumekua na namba kubwa ya …
Kocha wa klabu ya Simba Juma Mgunda amesema kua klabu hiyo imekamilisha maandalizi yake kuelekea mchezo wao wa kwanza kwenye ungwe ya pili ya ligi ya NBC. Klabu ya Simba …
Gwiji wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaransa mwenye asili ya Argentina David Trezeguet amefunga kua fainali ya kesho kati ya Ufaransa na Ufaransa imekua ngumu sana kwake binafsi …
Kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa Didier Deschamps amezungumza na kusema hawatacheza ili staa wa Argentina asibebe kombe la dunia katika mchezo wa fainali ya kombe hilo hapo kesho. …
Mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Ufaransa, Karim Benzema alitumia mtandao wa kijamii ujumbe wa kificho akisema “hapendezwi” siku mbili tu kabla ya mchuano wa fainali ya …
Ousmane Dembele amedai kuwa kikosi cha Ufaransa cha Kombe la Dunia ni kitulivu na chenye uzoefu zaidi kuliko kile kilichoshinda nchini Urusi dhidi ya Croatia mwaka 2018. Kikosi cha …
Rais wa shirikisho la soka duniani Gianni Infantino ametangaza rasmi michuano ya kombe la dunia ngazi ya klabu itakua na timu 32 kuanzia mwaka 2025. Rais huyo ameeleza hayo wakati …
FIFA imethibitisha kuwa Szymon Marciniak atakuwa mwamuzi wa fainali ya Kombe la Dunia Jumapili kati ya Argentina na Ufaransa. Marciniak tayari amesimamia michezo inayowahusisha waliofika fainali nchini Qatar, akichukua …
Kiungo wa timu ya taifa ya Hispania na klabu ya Barcelona Sergio Busquets ametangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Hispania baada ya kuitumia kwa muda mrefu. Kiungo huyo amefanya …
Beki wa zamani na timu ya taifa Argentina na klabu ya Inter Milan Javier Zanetti amesema nahodha wa timu hiyo kwasasa Lionel Messi yuko sawa na Maradona na anastahili kubeba …
Josko Gvardiol anajivunia kukumbana na mchezaji bora zaidi katika historia, hata kama Lionel Messi angeenda kiwango kingine akiwa na jezi ya Argentina ili kumdhalilisha beki wa Croatia. Gvardiol na …
Fabio Capello ameusifu uchezaji wa Lionel Messi na Kylian Mbappe kwa Argentina na Ufaransa katika nusu fainali ya Kombe la Dunia, lakini akapendekeza uchezaji wa kwanza umekuwa chini ya kiwango …
Mshambuliaji wa Croatia Andrej Kramaric amepuuza wazo kwamba mechi ya kesho ya mchujo wa kuwania nafasi ya tatu na Morocco ni shindano tupu, akipendekeza mshindi atakuwa “asiye kufa”. Timu …
Rais wa zamani wa shirikisho la soka barani Ulaya na gwihi wa zamani wa soka la Ufaransa Michael Platini amefurahia timu yake kutinga hatua ya fainali kwa mara ya pili …
Theo Hernandez amesema kuwa Lionel Messi haiogopeshi Ufaransa, wakati Olivier Giroud ana nia ya kumnyima nguli huyo wa Argentina kuwania Kombe la Dunia katika fainali siku ya Jumapili. Ufaransa …
Kocha mkuu wa Ufaransa Didier Deschamps aliulizwa iwapo Karim Benzema anaweza kurejea Ufaransa kwa ajili ya fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Argentina na akasema kuwa hataki kujibu swali …
Rais wa Ufaransa Emanuel Macron amemsifu kiungo wa timu ya taifa ya Morocco Sofyan Amrabat na kumuambia kama kiungo bora wa mashindano ya kombe la dunia mwaka huu. Kiungo huyo …
Mchezaji wa Ufaransa Antoine Griezmann amesema kuwa kumchezesha Lionel Messi kwenye fainali ya Kombe la Dunia siku ya Jumapili ni pendekezo tofauti kabisa baada ya timu yake kupata nafasi ya …