Mshambuliaji wa Intermilan Romelu Lukaku amejumuishwa katika kikosi cha wachezaji 26 cha Ubelgiji kwa ajili ya Kombe la Dunia la Qatar, licha ya majeruhi ambayo amekuwa akiyapata hapa na pale. …
Makala nyingine
Mchezaji wa Eintracht Frankfurt Mario Gotze amerejea kwenye kikosi cha Ujerumani kwa ajili ya Kombe la Dunia. Mchezaji huyo anayecheza katika nafasi ya kiungo mshambuliaji anaungana na Youssoufa Moukoko na …
Winga hatari kutoka klabu ya Borussia DortmundΒ Marco Reus atakosekana tena kwenye michuano ya kombe la dunia nchini Qatar ndani ya mwezi huu, Baada ya kutangazwa kwa kikosi cha timu …
Kocha wa timu ya Taifa ya Ufaransa Didier Deschamps amesema kuwa mshambuliaji wake Karim Benzema atafanya kila awezalo kuwa sawa kwa 100% kwa Kombe la Dunia baada ya kujumuishwa katika …
Beki wa kushoto wa klabu ya Real Madrid na Raia wa Ufaransa Ferlan Mendy ameachwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa kitakachokwenda kushiriki michuano ya kombe la dunia …
Rais wa zamani wa FIFA Sepp Blatter amedai kuwa ilikuwa ‘kosa’ kukabidhi Kombe la Dunia kwa Qatar kwa sababu ni nchi ‘ndogo’ kuandaa mashindano hayo makubwa. Utoaji wa Qatar wa …
Mwalimu wa timu ya taifa ya Brazil Adenor Leonardo Bacchi maarufu kama Tite ametangaza kikosi chake kitakachoenda kupeperusha bendera ya taifa hilo kwenye michuano ya kombe la dunia. Jana majira …
Askari wa kutuliza ghasia wa Ufaransa waliohusika na kufyatua mabomu ya machozi kwa mashabiki wa Liverpool, na kikosi maalum cha Uturuki wataandaliwa kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia …
Wakuu wa Shirikisho la Mpira Kimataifa (FIFA) Rais Gianni Infantino na Katibu wake Fatma Samoura wametuma barua kwa mataifa yote 32 ya Kombe la Dunia wakiyasihi kushikamana pindi michuano hiyo …
Giovani Lo Celso anaripotiwa kukabiliwa na kinyang’anyiro dhidi ya muda kuwa fiti kwa Kombe la Dunia baada ya kuumia wikendi iliyoisha. Kiungo huyo wa kati wa Argentina alilazimika kutolewa nje …
Hispania: Mchezaji wa Manchester United David de Gea hatashiriki Kombe la Dunia la Qatar baadaye mwaka huu baada ya kuripotiwa kuachwa kwenye orodha ya kikosi cha muda cha wachezaji 55 …
Trent Alexander-Arnold anaamini kushikilia nafasi maalum ni ‘kama kucheza ukiwa umefungwa pingu’ huku beki wa kulia wa Liverpool na Uingereza akikabiliana na ukosoaji kuhusu udhaifu wake wa safu ya ulinzi. …
Roberto Mancini ataendelea kuinioa timu ya taifa ya Italia licha ya timu yake kushindwa kufuzu mashindano ya kombe la Dunia kwa mara ya pili mfurulizo mara ya kwanza ilikuwa nchini …
Timu ya taifa ya Canada imefanikiwa kufuzu kucheza kombe la Dunia kwa mara ya kwanza ya ukame wa miaka 36 kufuatia ushindi wa 4-0 dhidi ya Jamaica usiku wa kuamikia …
Kocha wa Italia Roberto Mancini amejikuta katika wakati mgumu Baada ya taifa hilo kushindwa kufuzu kushiriki michuano ya Kombe la Dunia 2022 na mama wa kocha huyo wa zamani wa …
Ijumaa ya tarehe 1 mwezi Aprili itafanyika droo rasmi ya michuano ya Kombe la Dunia 2022 katika nchi Qatar ambayo ndiyo wenyeji wa michuano hiyo. Timu 15 kati ya 32 …
Didier Drogba amemuunga mkono Romelu Lukaku kuweka kando tofauti zake na klabu na kuangazia kucheza, baada ya usajili wa rekodi ya Chelsea kuwa na jukumu kubwa kwa timu hiyo kuwa …
Shirikisho la mpira wa miguu Dunia FIFA kufanya maamuzi ndani ya miezi miwili ikiwa teknolokia ya kutambua offside itatumika au lah na kwa sasa inafanyiwa majaribio kwenye michuano ya FIFA …
Mwaka 2022 unaweza kuwa ni mwaka ambao utatawaliwa na matukio makubwa kwenye ulimwengu wa soka. Gareth Bale anaweza kuwa miongoni mwa matukio ya mwaka 2022. Miongoni mwa matukio makubwa yanayotegemewa …
Baadhi ya mataifa tayari yamefuzu kushiriki kombe la Dunia 2022 nchini Qatar lakini kuna mataifa bado yanaendelea kusaka nafasi hiyo miongoni mwa mataifa hayo ni pamoja na Portugal, Italy Poland …