Didier Drogba amemuunga mkono Romelu Lukaku kuweka kando tofauti zake na klabu na kuangazia kucheza, baada ya usajili wa rekodi ya Chelsea kuwa na jukumu kubwa kwa timu hiyo kuwa Mabingwa wa Vilabu vya Dunia kwa mara ya kwanza siku ya Jumamosi.

Drogba Ampa Heko Lukaku

Lukaku alijiunga na Chelsea kwa uhamisho wa paundi milioni 97.5 kutoka Inter Milan msimu uliopita wa joto lakini mshambuliaji huyo ametoa mahojiano ambayo hayajaidhinishwa akidai kwamba hakufurahishwa na mambo fulani huko Stamford Bridge.

Licha ya kuchafukwa kwake Lukaku anaonekana kuachana na matatizo yote na kusonga mbele na kuifungia Chelsea bao la kwanza katika ushindi wao wa 2-1 dhidi ya Palmeiras ya Brazil katika fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia.

Gwiji huyo wa Chelsea alisema “Tunapopata muda wa kuongea nampa ushauri, lakini baada ya hapo ni kazi yake, ni majukumu yake sasa. Ni yeye sasa. Yeye ndiye anayesimamia safu ya ushambuliaji, kwa hivyo lazima atafute mawazo na kutengeneza historia yake mwenyewe.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa