Pogba Aumia Akiwa Mazoezini na Kikosi cha Ufaransa

Nyota wa Manchesster United Paul Pogba amepata majeraha akiwa kwenye mazoezi ya timu ya taifa ya Ufaransa wakijiandaa na kichezo ya kimataifa ya kufuzu kombe la dunia  2022 nchini Qatar.

Pogba alionekana akitoka mazoezi huku akiwa anachechemea huku akishika zaidi paja, kuna uwezokano asiwepo kwenye mchezo  dhidi ya Kazakhstan na Finland baada ya kuonekana akitoka mazoezini siku ya jumatatu.

pogba

Video iliyoachiwa na kituoa cha MC Sport, Pogba alisikika kwa sauti kubwa akipiga kelele kuonesha kuwa ameumia baada ya kupiga mpira na mguu wake wa kulia na kutoka nj’e kwenda kwenye gari na kuondoka mazoezini.

Bado haijathibitishwa ni kwa ukubwa gani wa majeraha aliyopata, lakini inaonekana ni jeraha kubwa mpaka kumfanya asiweze kuendelea na mazoezi na kuondoka.

pogba

Man Utd inawafaransa wawili ambao waliumia wakiwa kwenye majukumu ya kimataifa  ambao ni Anthony Martial na Raphael Varane ambao waliumia kwenye mapumziko ya oktoba, Varane alikosa michezo mitatu kabla ya kupata tena majeraha yaliyomuweka tena nj’e kwa mwezi mmoja tena, wakati Martial hajacheza mchezo wowote mpaka sasa.


NJIA RAHISI YA MKWANJA NA TITAN DICE

Unawezaje kuikosa hii! njia rahisi ya kutengeneza mkwanja katika kasino maridhawa za meridianbet. Muda wa kufurahia na kutengeneza mkwanja ipo mikononi mwako unasubiri nini?

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.