Katika muendelezo wa michezo ya kufuzu Kombe la Dunia, Qatar 2022. Mambo yanazidi kutaradadi! CR7, Southgate, Hans Flick, Maehle ndio habari ya mjini.

Hakika huu ni msimu ambao ulimwengu wa soka unaburudani za kila namna, ngazi ya vilabu na timu za taifa kote mambo ni moto. Burudani hii inanoga zaidi, ukichagua kubashiri na Meridianbet. Shutka! Watu wanatengeneza mamilioni kupitia *149*10# 

Kocha wa timu ya Taifa ya Ujerumani, Hansi Flick, amekuwa kocha wa kwanza kufuzu mashindano ya Kombe la Dunia 2022. Ujerumani wanafuzu baada ya kuwatusua North Macedonia kwa magoli 4-0. Huu ni ushindi uliowavusha Ujerumani moja kwa moja ikiwa ni timu ya kwanza kufuzu.

Qatar 2022, Qatar 2022: CR7 Rekodi, Southgate Akwama., Meridianbet
Ujerumani

Fumba na kufumbua, Denmark wameendelea kuwa gumzo kwenye Kundi F baada ya kushinda michezo yao yote 8 waliyocheza mpaka sasa. Jumla ya pointi 24, zinawavusha Denmark ambao wataungana na Ujerumani kama timu 2 za kwanza kujongea Qatar 2022. Pongezi zote zinaenda kwa Maehle baada ya kupachika goli lililowavusha Denmark.

Qatar 2022, Qatar 2022: CR7 Rekodi, Southgate Akwama., Meridianbet
Denmark

Pale Ureno kuliwaka moto wa namna yake jana usiku, CR7 akipachika ‘hat-trick’ kwenye ushindi wa magoli 5 dhidi ya Luxembourg. Suala kubwa sio ushindi wa Ureno bali ni historia nyingine iliyowekwa na Cristiano Ronaldo kwenye soka la Kimataifa.

Sasa ni rasmi, CR7 ndiye mchezaji pekee duniani aliyefanikiwa kupachika ‘hat-tricks’ nyingi (10) akiwa na timu ya Taifa. Haijawahi kutokea.

Qatar 2022, Qatar 2022: CR7 Rekodi, Southgate Akwama., Meridianbet
Uingereza

Gareth Southgate alijikuta akiangukia pua baada ya kujaribu mbinu ya kushambulia zaidi dhidi ya Hungary. Uingereza wamejikuta wakiambulia pointi 1 baada ya kutoka sare na Hungary kwenye mchezo uliochezwa Uingereza.

Hakika, safari ya kwenda Qatar 2022 bado ni ya moto kwa timu ambazo bado zinajitafuta kwenye kufuzu hatua za mitoano.


PIGA MKWANJA NA LA ROUGE

Fanya wiki yako iwe ya kuvutia zaidi, tunaelekea Los Angeles kutengeneza mkwanja na kasino maridhawa ya LA Rouge kutoka katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Fursa ya kufurahi huku unajaza pochi yako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa