Shirikisho la mpira wa miguu la Uingereza FA linatarajia kumhoji kocha wa klabu ya Everton Frank Lampard kutoa maelezo yake kuhusu mwamuzi Stuart Attwell baada ya klabu hiyo kupoteza kwenye mchezo wa ke dhidi ya Liverpool.

Lamapard alikuwa na hasira baada ya timu yake kunyimwa penati na mwamuzi Attwell kwenye mchezo huo, amabo walipoteza kwa goli 2-0 na kuifanya timu hiyo kuwa kwenye hatari ya kushuka daraja.

Frank Lampard
Frank Lampard

Kipindi cha pili cha mchezo huo, kiungo wa pembeni Anthony Gordon alichezewa mazambi na mlinzi wa klabu ya Liverpool Joel Matip kwenye eneo la penati, hata hivyo mwamuzi alikataa na kuomba usaidizi wa VAR nayo haikuweza kubadili maamuzi ya Attwell.

“Ilikuwa penati. Kama iling’elikuwa kwa Mo salah kafanyiwa hivyo ingekuwa penati, huwezi kupata hapa. Huo ndio ukweli muda mwingine hutokea kwenye soka.

“Kama ukiangalia tena kupitia VAR,  kuna maswali ya kuhuuliza kuhusu mambo yanayoendelea,  huenda ni matarajio pindi ujapo hapa.” Alisema Frank Lampard baada ya mchezo kuisha.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa