Nyota wa Barcelona Antoine Griezmann ni moja kati ya wachezaji wanaotajwa kuwa bora zaidi duniani. Nyota aliwahi kutamba mwishoni mwa mwaka 2018 kuwa kwa wakati ule yeye tayari alikuwa amezifikia levo za nyota wa Juventus bwana Ronaldo na staa wa Messi kutoka Barcelona.
Nyota huyu alitemwa kwenye tuzo bora ya FIFA ambayo mshindi alitangazwa septemba 24, lakini alisisitiza kuwa hajapigwa gepu na mastaa hao wawili na anahisi yuko juu na ataendelea kuwa juu zaidi. Pia aliatazamia huenda angepata taji la Ballon d’Or mwaka 2019 lakini bahati haikuw
a yake pia.

Katika kipindi cha tambo hizi, staa huyu alisema kuwa anatambua kuwa bado anatakiwa ajiboreshe zaidi kwenye soka analocheza, kwa mtazamo wake sio lazima afunge magoli 50 au zaidi ndio awe bora, ni kucheza kwa jitihada zote kwa ajili ya kuisaidia timu yake.
Kwake Antoine Ballon d’Or ni tuzo kubwa na muhimu zaidi, tofauti na tuzo ya FIFA, kwa kuwa tuzo hii huamuliwa kwa kura za watangazaji hivyo kwake yeye ni tuzo ya kujivunia zaidi kulingana na historia ya tuzo yenyewe.
Kabla ya kuhamia Barcelona toka, alidai kubaki Atletico ilikuwa ni uamuzi bora zaidi. Aliamini timu yake na wachezaje wenzake wanampenda, hatazami pesa katika kufanya maamuzi yake.
-Antoine Griezmann kwenye gazeti la AS.
“Nafikiri nimeshaa sehemu ambayo Messi na Cristiano wapo. Na natambua wachezaji wengine watafika hapa kwa kweli. … Nafikiri iko wazi hii, mimi ni mchezaji tofauti kuliko Christiano Ronaldo, Messi, Neymar au Mpappe. Niko juu lakini naweza kujiboresha”
Drops and Wins!
Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.


Povel
Ni kwl griezman alifika anga za Messi na Ronaldo lakin now amefulia Sana ss mashabik wake tuna matumain antoniaogriezman atafany vzr msimu ujao
Devotha
Griezman ni mchezaji mzuri sana tatizo mnyota yake inang’aa na kufifia tofauti na cr7
Gabriel
Griezman alitamba kipind cha kombe la dunia ila awez kufikia level za Ronald na Messi
Amiri Kayera
Alijufulaish wale wachezaji wapo sayar nyingn nayy yupo kwingne different
Theonestina
Jana jipya uyo
Janeflora malisa
Atakuwa natasha njiti ktk upepo
Mwanahamisi
Ana jipya huyo
David Pere
Kabla ya kuhamia Barcelona toka, alidai kubaki Atletico ilikuwa ni uamuzi bora zaidi. Aliamini timu yake na wachezaje wenzake wanampenda, hatazami pesa katika kufanya maamuzi yake.
Fatuma kasomo
Alitamba sn kipindi cha kombe la dunia
Ernest
Bado nafikiria wapi akienda Antoine Griezmann tutaona tena cheche zake na kumrudisha kwenye chat yake
Sauda
Hana jipya
warda
Hajawafikia wakina Mesi na Ronaldo#Meridianbettz
Nasra
Hakuna jipya
Dorophina
Griezman hawezi kufikia kiwango cha cr7 na akabakia hadhi iyo kipindi cha nyuma alikuja kwa kasi lakini saiz amna kitu kabisa
Ester jackson
Ha ha ha kweli usingoje kusiwiwa unatakiwa ujikubali mwenyewe anajua na anaweza ila hawezi kuwafikia messi na ronaldo
Mwajumah
Asante kwa makala
felister
Griezman sasa hivi hana lolote kiufupi kaishiwa
Adelta
Hana jipya
@meridianbettz
Magdalena
kipindi cha nyuma kweli alikuwa yupo vizuri lakini sasa hivi wa kawaida tu
Zeiyana
Kujiamini ndio kitu kinacho takiwa tumeon a alakati zake zote griezma hana ndoto za kuchukua tunzo ya mchezaji bora wa dunia big up sana kila kitu kinawezekana
Fatina mfingi
Asanteh kwa taarifa meridianbet
Samira
Greizman ni mchezaji mzuri sana sema anakiwango cha kushuka na kupanda
Hope mwaikuka
Ww levo za Messi hapana
Sadick
ANTOINE GRIEZMANN hajafikia levo za Messi na Ronaldo anahijika kufanya jitihada ziadi kufikia uwezo wa Wakongwe hao#meridianbettz
Furahav
Mmh hatari sana.
Issa
Griezman apambane sana kufikia levo hizo
Shafii
Ulikua ni mtazamo wake sio mbaya.
aisha
Hana maajabu huyo
Lydia Emmanuel Magoti
Habado Sana Yani kufikia levo za Messi na Ronaldo atasubili Sana