Tyson Furry kwa Wilder: Siwezi Kusubiri Milele

Tyson Furry anamtaka Deontay Wilder ulingoni tena haraka iwezekanavyo. Furry anasema kuwa yeye hawezi kusubiri milele kwa kuwa ana vibarua kibao vya kumalizia kwenye ndondi.

Pambano la marudiano, ikiwa ni mechi ya tatu wawili hawa kupanda ulingoni ilikuwa inatarajiwa kuwa Desemba 19. Lakini kumekuwa na sintofahamu ya tarehe rasmi ya pambano hilo kutokana na mabadiliko kadhaa.

Furry tayari alikuwa ameshafanya makubaliano ya kupambana dhidi ya Anthony Joshua mwaka 2021. Lakini pia Dillan Whyte anajiandaa kupambana na mshindi wa pambano la Fury dhidi ya Wilder, na kwa mujibu wa promota Eddie Heran, Whyte ndiyo Kipaumbele.

Tyson Furry kwa Wilder: Siwezi Kusubiri Milele
Tyson Furry V Deontay Wilder

Ili Furry aweze kupanda ulingoni na Whyte, anahitaji kuwa amemtandika Wilder, kisha hapo ataendelea na mipango ya kuwania taji dhidi ya Anthony Joshua.

White anahitaji kupambana na Alexander Povetkin Jumamosi, pambano la lazima kuwania taji la WBC Heavyweight ambalo Furry alilipata dhidi ya Wilder.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Furry ameweka chapisho lenye picha yake akiwa anamtandika Wilder.

“Uko wapi mzee? Mda unaenda!! Sitaweza kusubiri milele!!! Kuna maandazi kibao kwenye daraja hili nahitaji kuyala kama kifungua kinywa” -Tyson Furry


 

Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma zaidi Ucheze

30 Komentara

    Tyson anatamba tu: asichoke kusubiri muda utafika na pambano litafanyika tu alafu akipigwa arudi tena kwenye ukurasa wake aseme

    Jibu

    Kiukwel Tyson furry hamuwez kabisa Deontay Wilder kwan Kama ukibahatika gemu ya kwanza tuliona furry akipigwa Kama mtoto ila nilishangaa kuona mech ya pil upande wa wilder alionekana Kama hakuwa poa kabisa ila upande wangu kama gemu ikirudiwa tyson furry anapigwa

    Jibu

    Mashabik wa masubwi tunasubir matanange kwa hamu kwl

    Jibu

    Litakua pamban zur san

    Jibu

    Tunangoja kuona kuona pombano litakuaje

    Jibu

    Kitakuwa bonge la pambano

    Jibu

    🔥🔥

    Jibu

    Kiukwel Tyson furry hamuwez kabisa Deontay Wilder kwan Kama ukibahatika gemu ya kwanza tuliona furry akipigwa Kama mtoto ila nilishangaa kuona mech ya pil upande wa wilder alionekana Kama hakuwa poa kabisa ila upande wangu kama gemu ikirudiwa tyson furry anapigwa

    Jibu

    Patakua hapatoshi

    Jibu

    Patachimbika bila jembe

    Jibu

    Wapange mapema tumalize ubishi bhana

    Jibu

    Furry nae kujitapa amezidi ngoja siku apigwe ndo atakoma#Meridianbettz

    Jibu

    Tunasubiri mtanange

    Jibu

    👍👍

    Jibu

    Katika wapambanaji Naukubali sana Deontay Wilder mana Tyson anaongea sana angekutana kwanza na wilder ingependeza sana

    Jibu

    Tyson najua atamuangusha mtu nausubiria kwa hamu mtanange huu

    Jibu

    Wapange mapema tumalize ubishi bhana#Meridianbettz

    Jibu

    Tunasubili huo mtanange kwa hamu#meridianbettz

    Jibu

    nasubiria kuona hilo pambano litakavyokua

    Jibu

    Mashabiki tunasubiri kwa ham tuone Nani zaidi@meridianbettz

    Jibu

    tyson yupo makini sana namkubali

    Jibu

    Bado hajapatika mbadala wa Tyson

    Jibu

    Huu mtanange utakua ni balaa tunausubiri kwa hamu

    Jibu

    👀

    Jibu

    Sikutarajia kama Wilder angepigwa vibaya pambano la pili na Tyson Fury anaonyesha ana usongo wa kuwa bingwa wa heavy weight duniani#meridianbettz

    Jibu

    Mchezo wa ngumi naupendaga sana.

    Jibu

    Furry anampania sana huyu mtu lakin mwisho anaangukia pua

    Jibu

    Pamba

    Jibu

    Sipati picha maana tunasubili pambano hilo kwa hamu

    Jibu

    Tunausubili mtanange huo kwahamu patakuwa apatoshi hapo

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.