Pep Guardiola alipuuza kumkosoa Sergio Aguero kwa kukoosa penati katika mchezo ambao Manchester City ilipoteza kwa 2-1 dhidi ya Chelsea.

City walikuwa mbele kwa 1-0 pale walipopata penati wakati wa kipindi cha kwanza cha mchezo.

Aguero alirudi nyuma kumkabili Edouard Mendy kutoka yadi 12 alikuwa mwekundu baada ya penati yake ya mtindo wa Panenka kuokolewa kwa mkono mmoja na Mendy na The Blues waliwageuzia kibao City katika kipindi cha pili na kurudisha bao na kufunga bao la pili dakika za lala salama na kuongeza ucheleweshaji wa ubingwa kwa City.

Guadiola alisema: “Ni maamuzi yake,” Guardiola aliiambia Sky Sports. “Mpigaji alitakiwa kufanya maamuzi.

“Nilimwambia fanya maamuzi mara moja na ufanye kwa kujidhatiti na aliamua kufanya kwa namna ile.

Na sasa watakuwa wakiangalia mchezo wa Manchester United kama akipoteza kwa Aston Villa basi watatangaza ubingwa wa Premier League ikiwa imesalia michezo mitatu ligi kufika mwisho.

Manchester City watakabilana tena na Chelsea ndani ya wiki tatu zijazo katika fainali ya Champions League mwezi huu Mei 29.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

Guardiola, Guardiola Apuuza Kukosoa Panenka ya Aguero, Meridianbet

SOMA ZAIDI

10 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa