Kocha wa klabu ya Man City amekubali kuwa klabu yake inapaswa kuchukua ubingwa wa ulaya kabla ya kutambulika kama moja ya klabu kubwa barani ulaya pamoja na uwekezaji wote uliofanywa na kwenye klabu hiyo lakini bado haijafanikiwa kuchukua ubingwa wa ulaya.

Guardiola wakati akifanya mahojiano na waandishi wa habari alisema kuwa Man City haiwezi kuwekwa pamoja na klabu kubwa barani ulaya kama Barcelona, Man Utd, Real Madrid na vilabu vikubwa ulaya kama haijachukua ubingwa wa ulaya.

Guardiola

“Nakubaliana na watu ambao waanasema kuwa hatujafanikiwa Ulaya, hatujashinda ubingwa wa ulaya huenda wako sahihi, ili kutambulika na kila mtu nje ya ulaya na duniani ni kutawala soka la ulaya. Pep Guardiola

Kikosi cha Pep Guardiola leo kinatarajia kushuka dimbani kuwakaribisha liverpool kwenye dimba la Etihad katika mchezo ambao utaamua nani kushika usukani wa kuongoza ligi hiyo, huku City wakiwa wanaongoza ligi kwa alama moja.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa