Hodgson Arejea EPL, Watford Mpya.

Baada ya kuachana na Crystal Palace mwaka jana, Roy Hodgson anarejea tena kwenye ukocha akiiongoza Watford.

Hodgson (miaka 75) aliwahi kuifundisha Liverpool na Timu ya Taifa ya Uingereza na sasa, anakwenda kuchukua nafasi ya Cladio Ranieri ambaye aliachishwa kazi Jumatatu wiki hii.

Kazi kubwa ya Roy itakuwa kuivusha Watford msimu huu ambao mpaka sasa, wanashika nafasi ya 19 kwenye msimamo wa EPL na wapo kwenye hatihati ya kushuka daraja msimu huu.

Pamoja na Roy, Ray Lewington atajiunga nae kama kocha msaidizi ambapo pia, wawili hawa walikua pamoja kule Crystal Palace. Mkataba wa Roy haujawekwa wazi kuwa utakuwa wa mda gani lakini, inadhaniwa kuwa ni mkataba wa miezi 6.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe