Kamati ya Maadili na Nidhamu ya klabu ya Simba iliyopo chini ya Kamanda Kova imekiri kuwa tayari imepokea kesi ya mchezaji Jonas Mkude na imeanza kusikilizwa.

Habari za ndani zinadai mchezaji Mkude ambaye mkataba wake unamalizika mwishoni mwa msimu huenda asicheze tena mechi za Ligi Kuu zilizobaki na hivyo akaonekana msimu ujao.

Lakini Kova amesema kuwa Kamati yake itakutana tena Juni 5 (Jumamosi) kwa ajili ya kuendelea kusikiliza shauri hilo na ikiwezekama watamaliza na kulitolea hukumu.

Mkude
Kamanda Kova

“Ni kweli jambo hilo lipo mezani kwetu na tumeanza kulifanyia kazi, Jumamosi ya Juni 5 hukumu yake itatoka.” Alisema Kova.

Wakati Mkude anasubiria hukumu ya kesi hiyo, Kocha Gomes hajaambatana naye kwenda kuikabili Ruvu Shooting, watakayo cheza nayo kesho uwanja wa CCM Kirumba.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa