Mchezaji nyota wa klabu ya Ac Milan zlatan Ibrahimovic amemtembelea wakala wake Mino Raiola kwenye hospitali ya San Raffaele ambayo amelezwa baada ya mkanganyiko wa taarifa zilizotolewa hii leo kuhusu afya yake.

Vyombo mbalimbali vya habari nchini Italia vilitoa taarifa ya kuwa wakala huyo mwenye miaka 54 amefariki dunia hospitalini alipokuwa akitibiwa kwa muda mrefu. Kitu ambacho kilizua taharuki kwenye mitandoa ya kijamii pamoja na familia yake. Mpaka professor Alberto Zangrillo alipoweka wazi kuwa Raiola bado mzima ila yuko maututi.

Ibrahimovic

SportMediaset limeripoti kuwa Ibrahimovic amemtembelea wakala wake Raiola kwenye hospitali aliyolazwa jijini Milan jioni ya leo, alipata muda wa kumuona wakala wake. Mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Sweden amewakilishwa na Riola kwa muda mrefu ambapo wamefanikisha hamisho nyingi kubwa kama ya kutoka PSG kwenda Man Utd.

Hali ya sasa ya Raiola inabaki kuwa shaka na wengi bado wanaamini kuwa uwezekekano wa kupona ni kidogo sana kutokana na ugonjwa wake, ambao umemuweka hospitalini hapo kwa muda wa miezi minne.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa