Zlatan Ibrahimovic anatarajia kurejea kwenye timu ya taifa ya Sweeden mwezi Machi, kwa mujibu wa ripoti mbalimbali za soka.

Nyota huyu wa miaka 39 aliamua kuachana na soka la kimataifa mwaka mwaka 2016, kwa mujibu wa fotbolldirekt.se, lakini sasa yupo tayari kurejea.

Ibrahimovic Kurejea Timu ya Taifa

Ibra anatarajia kuitwa tena kwenye timu ya Sweden kwenye likizo ijayo ya kimataifa, wakati Sweden wakiwa wanajiandaa kuumana na Kosovo, Georgia na Estonia.

Andersson anasema kuwa alimtembelea Ibrahimovic mwezi Novemba, anasema baada ya kuona Zlatan anazungumzia suala la kurejea dimbani kwenye timu ya taifa aliona kulikuwa na umuhimu mkubwa wa kufanya mkutano na yeye mapema.

Baada ya mazungumzo ya meneja huyo na Ibra, basi bila shaka tutarajie kurejea kwake dimbani.


 

Ni Muda wa Kuvuna Mkwanja na Jungle Jim and the Lost Sphinx

Hauihitaji kufikira mara mbili ni mchezo gani utakupatia mkwanja ndani ya kasino za Meridianbet. Jiunge sasa ufurahie Jungle Jim and the Lost Sphinx.

Ibrahimovic, Ibrahimovic Kurejea Timu ya Taifa, Meridianbet

  CHEZA HAPA

8 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa