Inaki williams Kuweka Kumbukumbu La Liga

Inaki Williams 27 ataingia kwenye kumbukumbu za la liga  kwa kucheza michezo mingi zaidi kwenye historia ya La Liga akiwa na klabu ya Athletics Bilbao kama atacheza leo dhidi ya Alaves

Ikiwa atacheza leo kwenye dimba la San Mames atakuwa amefanikiwakucheza mechi 203 mfululizo kwenye ligi kuu ya Hispania La Liga.

Inaki williams
Inaki williams

Mmoja kati ya wachezji wawili ambao wamecheza zaidi ya michezo 200 katika La Liga mfululizo, Inaki ataipiku kumbukumbu iliyowekwa na mchezaji wa Real Sociedad Juan Larrranaga ambaye alikuwa anachezea nafasi ya ulinzi, ambaye aliichezea Txuri-Urdin kati ya mwaka 1980 mpaka 1994.

Hivi karibuni alikuwa alifurahia kufikisha michezo 300 akiwa na kikosi cha Los Leones septemba 11 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Real Mallorca, na ikiwa leo watashinda basi utakuwa ushindi wa tatu mfululizo.

Inaki Williams, amefunga magoli 67 kwenye michezo 303 tokea apandishwe kucheza timu ya wakubwa disemba 2014, na kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi januari 2019 na kuwa mfungaji bora wa timu ya Athletics Bilbao kwa kufunga magoli 13.


SPACE SPIN NA MERIDIANBET.

Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.