Inter na Eriksen, WAMEMALIZANA.

Klabu ya Inter Milan imethibitisha kuachana na aliyekuwa mchezaji wa klabu hiyo, Christian Eriksen. Haya ni maridhiano baina ya pande zinazohusika.

Eriksen amekuwa nje ya uwanja kwa muda toka alipopata matatizo ya moyo akiwa kwenye majukumu ya Timu ya Taifa kwenye mashindano ya Euro 2020. Kufuatia tatizo hilo, Eriksen amewekewa mashine kwenye mfumo wake wa moyo.

Kwa mujibu wa Serie A, ligi hiyo hairuhusu mchezaji mwenye matatizo kama hayo kucheza kwenye ligi hiyo na hivyo, Inter pamoja na Eriksen, wamefikia makubaliano ya kukatisha mkataba kati yao.

Kufuatia kusitisha mkataba wa Eriksen, mchezaji huyo sasa yupo huru kuamua klabu nyingine atakayoitumikia nje ya Serie A ambapo haruhusiwi kucheza ligi hiyo.


ANZA MSIMU WA SIKUKUU NA BURST THE BANK

Fanya wiki yako iwe ya ushindi mkubwa ndani ya kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo wa BURST THE BANK🔥🤑 ni moja kati ya mchezo pendwa unaowapa wachezaji mamilioni kila siku. Kwa dau dogo unashinda zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.