Droo Kamili : Raundi ya 3 Copa del Rey

Barcelona, Real Madrid na wapinzani wao wengi wa La Liga wameshajua wapinzani wao wajao wa Copa del Rey.

Droo ya mzunguko wa tatu ya michuano ya Copa del Rey imefanyika leo kufuatia wiki moja ya vilabu vinne vya La Liga kuondolewa.

Copa del Rey Raundi ya 3

Alaves, Getafe, Granada na Levante zote zilipata fursa kupitia upinzani wa ligi ya chini.

Vilabu kumi na sita vya La Liga vimesalia, na vilabu vinne vya Supercopa vinajiunga kutoka mzunguko huu. Mechi zitachezwa kati ya January 4, 5 na 6.

Droo ya Raundi ya Tatu Copa del Rey

Mancha Real vs Athletic Club
Rayo Majadahonda vs Atletico Madrid
Alcoyano vs Real Madrid
Linares Deportivo vs Barcelona
Atletico Baleares vs Celta Vigo
Valladolid vs Real Betis
Almeria vs Elche
Mirandes vs Rayo Vallecano
Cartagena vs Valencia
Sporting Gijon vs Villarreal
Eibar vs Mallorca
Fuenlabrada vs Cadiz

ANZA MSIMU WA SIKUKUU NA BURST THE BANK

Fanya wiki yako iwe ya ushindi mkubwa ndani ya kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo wa BURST THE BANK🔥🤑 ni moja kati ya mchezo pendwa unaowapa wachezaji mamilioni kila siku. Kwa dau dogo unashinda zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe