Joao Felix Anatokaje Benchi?

kwa mujibu wa Diego Simeone, Joao Felix anahitaji kufanya jitihada za ziada kurejesha umuhimu wake kwenye kikosi cha Atletico Madrid.

Joao Felix alifanya vyema msimu uliopita, na pia amekuwa na mwanzo mzuri wa msimu msimu huu. Lakini hivi karibuni amekuwa akicheza chini ya kiwango.

Joa Felix
Joao Felix Atletico Madrid

Staa huyu amejikuta akiwa benchi kwa muda mrefu zaidi, akiwa amekosa kucheza kabisa kwenye gemu nne za La Liga zilizopita licha ya kuwa na hali nzuri ya kumruhusu kucheza.

Nyota huyu ana miaka 22 , na anahitaji kufanya jambo ili kurejea kwenye mstari. Staa huyu alionesha ishara nzuri kwenye mechi iliyopita, Atletico waliyopoteza dhidi ya Real Madrid.

Simeone anasema kuwa Staa huyu anahitaji kurejea kile alichokifanya Bernabeu ili aweze kuiondoa benchi mara kwa mara ;

“Wakati wote huwa nakuwa muwzi kwa wote na kwa kile ambacho ni muhimu zaidi kwa timu, na Joao ni sehemu muhimu. Anapaswa kurudia kile alichokifanya Bernabeu kwa dakika 45 alizozipata.” – Simneone


ANZA MSIMU WA SIKUKUU NA BURST THE BANK

Fanya wiki yako iwe ya ushindi mkubwa ndani ya kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo wa BURST THE BANK🔥🤑 ni moja kati ya mchezo pendwa unaowapa wachezaji mamilioni kila siku. Kwa dau dogo unashinda zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.