Jezi aliyotumia mchezaji nyota wa zamani wa kimataifa wa Argentina kwenye mchezo dhidi ya Uingereza mwaka 1986 wa kombe la dunia ambapo alifungia goli la mkono na kupewa jina mkono wa mungu imeuzwa kwa kiasi cha $9.28 million kwenye mnada wa Sotheby jijini London.

Jezi ya maradona imaipiku rekodi iliyowekwa na jezi iliyovaliwa Babe Ruth ambayo ilinunuli kwa kiasi cha $5.64milion mwaka 2019, ambayo aaliitumia mwaka 1928-1930 akiwa anaitumikia timu ya New York Yankees na kifaa cha mchezo kilichoweka rekodi “hand-drawn Olympic manifesto”  aambayo iliuzwa kwa kiasi cha  $8.8milion.

Jezi

Maradona alivaa jezi hiyo kwenye mchezo wa robo fainali ya kombe la Dunia dhidi ya  Uingereza mwaka 1986 ambapo alifunga magoli yote mawili kwenye mchezo ulioisha kwa Argentina kushinda 2-1.

Steve Hodge ambaye alibadilishana na Maradona jezi hiyo baada ya mchezo kuisha, awali alikataa offa yya kuiza jezi hiyi na alipeleka kwenye makumbusho ya taifa ya mpira tangu mwaka 2002, lakini mwaka huu April 6, Sotheby walitangaza kuiweka kwenye mnada.

Sotheby walikadilia kuwa na thamani kati ya  $5m-7.5m jezi hiyo ndani ya masaa machache ya mnada kufunguliwa April 21, offa ya kwanza ilikuwa $4.99milion, baada ya mnunuzi wa maalum kutokea na kulipa kiasi kikubwa ambacho kivuka rekodi ya jezi  $5.64milion


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa