Tanzia: Hugo maradona afariki Dunia akiwa na Miaka 52

Mdogo wake Maradona, Hugo Maradona amefariki Dunia jijini Naples akiwa na umri wa miaka 52, klabu ya Napoli imethibitisha kifo chake.

Klabu ya Napoli kupitia raisi wake Aurelio De Laurentiis na wafanyakazi wengine wa klabu ya wakiwemo wachezaji wamekusanyika pamoja na familia ya Maradona katika kuomboleza kifo cha Hugo Maradona.

 Hugo maradona

klabu ya Napoli ilitoa waraka mfupi kwenye kikao na waandishi wa habari leo Jumanne “Hugo maradona amefariki Dunia” mchezaji huyo alikuwa anasumbuliwa na tatizo la shambulio la moyo.

Kifo cha Hugo kimekuja mwaka mmoja baada ya kifo cha mchezaji maarufu Diego Maradona kilichotokea Novemba 2020 akiwa na umri wa miaka 60.

Hugo maradona

Hugo Maradona amecheza katika nchi Italia, Australia, Argentina na Japan kabla ya kumalizia mpira wake nchini Italia, Hugo pia alishawai kucheza timu moja na kaka yake baada kujiunga na timu ya Napoli mwaka 1987.


KUWA MILIONEA MSIMU WA SIKUKUU NA SAHARA RICHIES

Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.