Wakala wa kiungo mchezeshaji wa klabu ya Chelsea Jorginho amesisitiza kuwa mchezaji huyo haendi popote atasalia kwenye klabu hiyo licha ya kuwepo kwa tetesi kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kiungo huyo kuhamia kwenye klabu ya Juventus.

Kiungo huyo mwenye miaka 30 amekuwa akihusishwa na klabu ya Juventus kwa muda mrefu, Jorge ambaye amebakisha mwaka mmoja kwenye mkataba wake, hii maana yake kuwa anaweza kuwa kupatika kwa dau dogo kuliko kumuachia kuondoka huru.

Jorginho
Jorginho

Wakala  Joao Santos, alisisitiza kwamba kuondoka kwa sasa sio sehemu ya mipango yake, “kufanya makubaliano na Juve? kutokana na hali hii na kwamba Chelsea pasipo kuwa mnunuzi, Jorginho kwa asilimia 100 anabaki London.” alisema Santos.

“Nimefahamiana na mkurugenzi wa michezo wa Juventus Federico kwa miaka 20, anatambua hili.”

Chelsea kwa wanapitia kipindi kigumu kwenye dirisha la usajiri kuutokana na hatua za kupiga mnada klabu kuendelea kwa kwa kificho si kwa uwazi.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa