Waandaji wa mashindano ya Wimbledon wamethibitisha kwamba chanjo ya Covid-19 haitakuwa sheria kwa wachezaji kushiriki michuano kwa mwaka huu kwa maana hiyo Novak Djokovic ataruhusiwa kutetea taji lake.

Tennis: Djokovic Ruksa Kushiriki Wimbledon

Mchezaji namba moja ulimwenguni hakuweza nafasi ya kutetea taji lake kwenye michuano ya wazi ya Australiabaada ya kurejeshwa nchini mwake mwezi Januari.

All England Lawn Tennis Club (AELTC) ilisema kwa hatua ya 135 ya Wimbledon, itakayoanza Juni 27, kanuni za Serikali ya Uingereza hazihitaji wachezaji kupewa chanjo dhidi ya COVID-19.

“Kama mnavyofahamu serikli ya Uingereza haiitaji lazima mtu awe na chanjo ili weze kuingia nchini humo”

“Na haitakuwa sharti la kuingia kushiriki michuano hiyo mwaka huu,” mtendaji mkuu Sally Bolton alisema.

AELTC pia ilithibitisha kuwa hakutakuwa na hatua zozote za COVID-19 katika mashindano ya 2022 na wachezaji wataruhusiwa kukaa katika makazi yao ya kibinafsi.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa