Mchezaji wa Barcelona Ronald Araujo amesaini dili ya mkataba mpya na klabu ya Barcelona kandarasi itakayofanya kazi mpaka 2026 klabu hiyo ya LaLiga imethibitisha.

Araujo Asaini Kandarasi Mpya na Barcelona

Araujo ambaye ana umri wa miaka 23 amekuwa akipata nafasi ya kuichezea Barca kwa mismu miwili iliyiopita na sasa amemwaga wino wa kuendelea kuitumikia The Blaugrana mpaka msimu wa 2025-26, mkataba wa awali ulikuwa uanfika mwisho 2023.

Barcelona wamemfunga mchezaji huyo kwa kifungu chenye thamani ya bilioni 1 sawa na Ansu Fati na Pedri ambao waliongeza muda wa kuendelea kusalia Camp Nou hivi majuzi.

Araujo amecheza mechi 78 katika mashindano yote tangu aliposajiliwa Oktoba 2019 akitokea klabu ya Boston River ya Uruguay.

Araujo alisema: “Ninafuraha sana kuendelea kusalia hapa, kukaa kwa miaka mingi ijayo. Ni matunda ya bidii ya kazi yangu nawashukuru walimu wote ambao wamenisaidia.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa