Jorginho: Ndoto Yangu ni Kurejea Italia

Kiungo wa Chelsea Jorginho amesema kwamba ana ndoto ya kurejea nchini Italia hii imethibitishwa na wakala wake Joao Santos.

Jorginho: Ndoto Yangu ni Kurejea Italia

Mchezaji huyo ambaye alishinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kiume wa UEFA anafikiria kuondoka darajani mara baada ya mkataba wake kumalizika mwaka 2023.

Chelsea walilipa kiasi cha £50 m mabayo nisawa na ($69m) kumnasa Jorginho kutoka Napoli wakati wa majira ya joto mwaka 2018 na kufunga kwa mkataba wa miaka mitano.

Mkata huo upo njiani kumalizika si zaidi ya miaka miwili na Santos amesema kwamba anaweza kuondoka Stamford Bridge kabla ya mwaka huo.

“Anamktaba na Chelsea mpaka mwaka 2023 ,” Santos aliiambia Radio Bianconera” Kimsingi itakuwa ni ndoto kwa Jorginho kurejea Italia baada ya kuwa na tumaini la kushinda Kombe la Dunia.

“Tutaangalia soko litakavyokuwa limekaakwa miaka miwili ijayo na hali nyingine  zitakavyokuwa.


USHINDI KIGANJANI KWAKO!

Meridianbet inakuletea ushindi kwenye kiganjani kwako, unafurahia radha halisi ya burudani ya kasino mtandaoni na tabasamu la ushindi.

Meridianbet Online Casino

INGIA MCHEZONI HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.