Jurgen Klopp Azungumza Kuhusu Bellingham

Kocha wa klabu ya Liverpool Jurgen Klopp amezungumza kuhusu kiungo wa klabu ya Borussia Dortmund Jude Bellingham ambaye inasemakana anahitajika na vijogoo hao.

Kiungo Jude Bellingham amekua mchezaji anaefwatiliwa kwa karibu na vilabu kadhaa vikubwa barani ulaya ikiwemo klabu ya Liverpool, Kiungo huyo amekua akionesha ubora mkubwa katika klabu yake ya Liverpool pamoja na timu ya taifa ya Uingereza.jurgen kloppKocha Jurgen Klopp alipoulizwa kuhusu kupatikana kwa kiungo huyo katika dirisha dogo la usajili mwezi Januari na kujibu yeye sio mtu sahihi kuulizwa sawali hilo, Lakini akisisitiza wataingia sokoni Januari na kama litatokea lolote litaonekana tu kwasababu muda wote wao kama klabu wanajiandaa.

Klabu ya soka ya Liverpool imekua mstari wa mbele ikishindana na klabu ya Real Madrid katika kuhitaji huduma ya kiungo Jude Bellingham, Kiungo huyo amekua lulu kwa vilabu vingi barani ulaya na hii imekuja kutokana na ubora wake.jurgen kloppKlabu ya Borussia Dortmund inatarajia kupokea kiwango kikubwa cha pesa endapo itaamua kumuuza mchezaji huyo kuelekea moja ya vilabu vikubwa barani ulaya, Kwani Liverpool chini ya kocha Jurgen Klopp wamekua wawindaji wakubwa wa saini ya kiungo huyo wakifatiwa na klabu ya Real Madrid.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.