Jürgen Klopp: Curtis Jones Yuko Sawa

Kocha wa Liverpool Jürgen Klopp amefichua akichozungumza na Curtis Jones wiki iliyopita kuwa wanafanya kazi pamoja kwa sasa kuhakikisha kiungo huyo kinda anarudi kwenye ubora wake msimu huu.

Kinda huyo mwenye miaka 20alionyesha kiwango cha kuvutia kwenye mchezo wa Carabao Cup ambao ulimalizika kwa timu zote mbili kutokuona golia la mwanzake, huku Curtis akicheza nafasi ya kiungo wakushoto na kuitendea vyema kabisa.

Jürgen Klopp
Jürgen Klopp

Jones msimu huu haukuwa mzuri kwake kwani amekuwa nje tangu mwezi novemba kutokana na maejeruhi aliyoyapata mazoezini kwa wiki kadhaa kabla ya kurejea na kukutwa tena na maambukizi ya Uviko-19, na kwa sasa yuko sawa.

Ingawa kwa sasa yuko sawa, klopp amepata wasaa wa kuzungumza nae kuhusu jinsi anavyoweza kubadilisha mchezo na kurudi kwenye ubora wake, nilikuwa na mazungumzo marefu na Curtis, “navutiwa nae, napenda kujituma kwake tumekaa pamoja sasa ambapo tunaweza kupiga hatua ili kuweza kufanikisha maendeleo yake uwanjani.”


JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe