Anthony Martial: Sijakataa Kucheza Man Utd

Mshambuliji wa timu ya Manchester United Anthony Martial amepinga kuwa hakukataa kucheza kama kocha wa muda wa klabu hiyo alivyodai kwenye mchezo wa jana dhidi ya Aston Villa ambao walitoka sare ya 2-2.

Kocha wa muda wa klabu ya Manchester United alidai kuwa mchezaji wake Anthony Martial hakutaka kujumuishwa kwenye kikosi kilicho cheza dhidi ya Aston Villa, baada ya Man Utd kuwataja wachezaji nane wa akiba na miongoni mwao wakiwepo magolikipa wawili kwenye mchezo wa jana Jumamosi.

Anthony Martial

Sitakaa kucheza Man Utd kamwe, nimekuwa hapa kwa miaka saba, sitavunja heshima hiyo na sitaivunjia heshima klabu  na mashabiki.” Allichapisha kwenye ukurasa wa Instagram

Anthony Martial anahitaji kuondoka kwenye dirisha hili la januari, huku akiwa hajajumuishwa kwenye kikosi tangu mwezi December 2 kwenye mchezo wake wa mwisho ambao Man Utd walishinda 3-2.

Martial anatumai kuwa dirisha hili atatolewa kwa mkopo ili akapate nafasi ya kucheza mara kwa mara kwenye kikosi cha kwanza, huku timu ya Sevilla ndio chaguo la pekee japo Barcelona na Juventus nao wanahitaji hudama yake.


 

JIACHIE NA ALMIGHTY AZTEC

Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe