Mchezaji namba moja wa tennis duniani Novak Djokovic matumaini ya kushiriki Australian Open yamezima kama kama kukatika kwa umeme baada ya mahakama kutupilia mbaki rufaa yake dhidi ya kibali cha kumfukuza.
Majaji watu wa mahaka nchini humi walisimamia maamuzi ya yaliotolea Ijumaa na waziri wa uhamiaji kufuta Visa ya mchezaji huyo namba moja Novak kwa maslahi ya umma, maamuzi hayo yatamuweka kizuizini Djokovic ambaye hajachanjwa mpaka atakapo safirishwa kurudi nchini kwake.
Waziri amefuta Visa yake nchini humo kutokana na uwepo wa hatari za kiafya ma kuweza kurinda wengine dhidi ya mlipuko wa ugonjwa Uviko-19 na kuhamasisha wengine wasio chanjwa wachanje nchini humo.
Awali Djokovic alifutiwa Visa 6 January kwenye uwanja wa ndege wa Melbourne saa kadhaa tu alipowasili ili kushindana kwenye Grand Slam ya kwanza mwaka 2022, afisa uhamiaji aliamua kuifuta Visa yake kwa kuwa Djokovic hakuweza kukizi vigezo vya vipimo vya kuingia nchini humo.
“Deportation order” ambayo Novak amepata, hataruhusiwa kuingia nchini Australia kwa muda wa miaka mitatu.
Ni muda wako kujiachia na mchezo maridhawa wa Almighty Aztec katika kasino bomba za meridianbettz. Nafasi ya kutengeneza mkwanja iko mikononi mwako kazi ni kwako.
CHEZA HAPA