Juventus: Pirlo Ataka Vijana Wake Waisahau Barca

Andrea Pirlo amewaambia Juventus waiondoe akilini Barcelona wakati wanajiandaa na mechi dhdi ya Genoa, na mawazo yote yaelekezwe huko.

“Kama tunaendelea kuiwaza Barcelona, basi tunatakiwa kubadilisha hilo sasa, tubadilike na kufanya muendelezo wa ushindi” -Pirlo

Pirlo anasema kuwa hawatakiwi kuacha mechi dhidi ya Barcelona iwafanye washindwe kupata matokeo mazuri, ambayo wanayasaka kwa udi na uvumba kwenye Serie A kwa sasa.

Pirlo Juventus

Morata sasa atakuwepo kwenye mechi hii baadabya kupunguziwa adhabu yake ya awali ya mechi 2, hii ni baada ya Juventus kukata rufaa ya adhabu ya awali. Pirlo anaamini hii atakuwa msaada kwao.

Bosi huyu anasema kuwa anaiona mechi hiyo kama moja ya mechi zao ngumu zaidi, kwa kuwa Genoa wako vizuri kwenye safu ya ulinzi na kufanya mashambulizi ya ghafla wakati mwingine. Hivyo ni suala ambalo anataka vijana wake walizingatie.

Wasi wasi mkubwa wa Pirlo ni kuwa huenda vijana wake wakawa bado wana ‘wenge’ la mechi ambayo walishinda dhidi ya Barcelona kule Camp Nou. Anataka kikosi kisahau hilo na kijikite katika kibarua kilicho mbele yao.

Jumapili: Juventus vs Genoa BETI SASA

 


 

MALIZA MWAKA KIBINGWA KWA KUJISHINDIA SHEA YAKO KWENYE SHILINGI 140,000,000TSH!!

Kipindi hiki cha sikukuu kinamalizika kwa namna ya kipekee. Shilingi 140,000,000 kushindaniwa katika michezo ya Evolution kwenye Kasino Mubashara ya Meridanbet. Ingia mchezoni na ujiwekee nafasi ya kushinda shea yako!!!

SOMA ZAIDI

17 Komentara

    Good

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Ni wakati wake Sasa na atwatesa sanaa

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Pirlo anataka timu ishinde bila kumufikiria Ronaldo bahati mbaya hilo halijawezekana. Bado ana kazi ya kufanya kupata watu sahihi kuleta matokeo anayotaka

    Jibu

    Good new

    Jibu

    Atawatesa san

    Jibu

    Vizuri Kama itakuwa ivyo

    Jibu

    Jamani wawe na aman tu barca awana maajabu Siku hz

    Jibu

    Itawezekana

    Jibu

    Mechi itakuwa ya vuta nikuvute lakini sio mbaya kama ndani atakuwepo mnyama Cr7 akiharibiki kitu

    Jibu

    Safi sanaaa

    Jibu

    Barca ilipotea

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Ni kweli cha muhimu kufanya mwendelezo wa ushindi

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Big up

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.