Ronald Koeman Bado Anamtaka Georginio Wijnaldum

Meneja wa Barcelona Ronald Koeman anaripotiwa kuwa bado anamtaka nyota wa Liverpool, Georginio Wijnaldum pale Camp Nou.

Nyota huyu wa zamani wa Newcastle United yupo kwenye miezi yake ya mwisho ya kumaliza mkataba wake wa sasa pale Liverpool, na amekuwa akihusishwa kuondoka Anfield kuhamia Catalonia mwezi ujao.

Licha ya kuwa na sintofahamu juu ya hatma ya staa huyu, amekuwa sehemu muhimu sana ya kikosi cha Jurgen Klopp kwa mara nyingine msimu huu. Klabu inatajwa kuwa ipo kwenye mpango wa kusaini dili jingine na nyota huyu wa miaka 30.

wijnaldum georginio wijnaldum

Hata hivyo, kwa mujibu chapisho la Mundo Deportivo, Koeman bado anaitaka saini ya staa huyu ili aweze kuipa nguvu safu yake ya ushambuliaji. Nyota huyu bado anatawala mipango yake Koeman.

Wijnaldum anaweza kuanza mazungumzo na vilabu vya nje kuanzia mwezi Januari. Hata hivyo, kuna wasi wasi kuwa Barcelona wanaweza kushindwa kukamilisha dili hili kwa kuwa bado wanapambana na athari za Corona kiuchumi kwenye klabu hiyo.


MALIZA MWAKA KIBINGWA KWA KUJISHINDIA SHEA YAKO KWENYE SHILINGI 140,000,000TSH!!

Kipindi hiki cha sikukuu kinamalizika kwa namna ya kipekee. Shilingi 140,000,000 kushindaniwa katika michezo ya Evolution kwenye Kasino Mubashara ya Meridanbet. Ingia mchezoni na ujiwekee nafasi ya kushinda shea yako!!!

SOMA ZAIDI

17 Komentara

    Vzr

    Jibu

    Abaki tu Liverpool

    Jibu

    Ni Jambo zuri la yeye kubaki liver

    Jibu

    Wijnaldum anaweza kuanza mazungumzo na vilabu vya nje kuanzia mwezi Januari. Hata hivyo, kuna wasi wasi kuwa Barcelona wanaweza kushindwa kukamilisha dili hili kwa kuwa bado wanapambana na athari za Corona kiuchumi kwenye klabu hiyo.

    Jibu

    Georginio amakuwa muhimili kiungo Liverpool, haitakuwa rahisi kwa Barcelona kupata saini yake

    Jibu

    Nijambo jema abaki tu live

    Jibu

    Abaki tu livepool

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Vizuri Sana abakii tuuu

    Jibu

    Kaz kwake

    Jibu

    Wijnaldum yupo vizuri anajua nini anafanya ila ni bora akabakia liverpool

    Jibu

    Gorginho ana mchango mkubwa Sana Liverpool

    Jibu

    Liver kumachia huyu ni kaz

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Ajitahidi atampata tu

    Jibu

    Vizuli

    Jibu

    Klopp hawezi kumuacha

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.