Rekodi za Everton vs Chelsea

Rekodi kuelekea mchezo wa Chelsea dhidi ya Everton hii leo;

▶️ Kwenye michezo miwili mfululizo iliyopita ya Ligi Kuu Uingereza, Everton ikiwa nyumbani dhidi ya Chelsea, Everton imeshinda michezo yote huku rekodi kubwa kwa Everton kupata ushindi mfululizo ikiwa nyumbani dhidi ya Chelsea ilikuwa kati ya mwaka 2010 na 2012 ambapo Everton walishinda michezo mitatu.

▶️ Kwenye michezo 8 iliyopita ya Ligi Kuu Uingereza ikizikutanisha Chelsea dhidi ya Everton, Chelsea imecheza michezo 6 bila kuruhusu kufungwa goli uku kwenye michezo miwili iliyoruhusu Chelsea imepoteza michezo hiyo. Ushindi 4 na sare 2.

▶️ Michezo miwili iliyopita Everton ikiwa nyumbani, imepoteza yote, kocha Carlo Ancelotti mara ya mwisho kupoteza michezo mitatu mfululizo akiwa nyumbani ilikuwa mwaka 2006 akiwa na klabu ya AC Milan uku jwa Everton kupoteza michezo mitatu mfululizo wakiwa nyumbani ilikuwa mwaka 2016.

▶️ Kwenye michezo mitatu iliyopita ya ligi kuu Uingereza, Chelsea ikiwa ugenini, imecheza hiyo michezo bila kuruhusu kufungwa goli. Endapo ikicheza na mchezo wa leo bila kuruhusu goli itakuwa imefikia rekodi ya mwaka 2014 ilipocheza michezo minne mfululizo ikiwa ugenini bila kuruhusu goli.

▶️ Makocha ambao wamewai kuifundisha Chelsea kisha baadae wakaja kucheza dhidi ya klabu hiyo, wamepata ushindi kwenye michezo 5 kati ya 34 uku wakipoteza 21 na kutoa sare 8. Rafa Benitez akiwa na Newcastle alikuwa kocha wa mwisho kupata ushindi dhidi ya Chelsea mwaka 2018.


MALIZA MWAKA KIBINGWA KWA KUJISHINDIA SHEA YAKO KWENYE SHILINGI 140,000,000TSH!!

Kipindi hiki cha sikukuu kinamalizika kwa namna ya kipekee. Shilingi 140,000,000 kushindaniwa katika michezo ya Evolution kwenye Kasino Mubashara ya Meridanbet. Ingia mchezoni na ujiwekee nafasi ya kushinda shea yako!!!

SOMA ZAIDI

20 Komentara

    Chelsea sidhani kama watapindua mechi hii ya leo washakuwa wabovu

    Jibu

    Hahaha haaa kwel

    Jibu

    Asante kwa taaarifa meridianbet

    Jibu

    Chelsea wana kibarua kizito leo

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Kwa mchezo wa Leo utakuwa nipige ni kupige na mwisho wa mchezo ndio tutaelewa nani mshindi

    Jibu

    Chelsea kazi ipo

    Jibu

    Mwisho wa siku Chelsea imepoteza mechi na wakati huohuo ili dominate mchezo

    Jibu

    Kwa mchezo wa Leo utakuwa nipige ni kupige na mwisho wa mchezo ndio tutaelewa nani mshindi

    Jibu

    Chelsea wajipange leo

    Jibu

    Chelsea wajipange

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Thanx for this

    Jibu

    Chelsea wamepoteza

    Jibu

    Chelsea Awana kitu

    Jibu

    Everton walikua high

    Jibu

    Chelsea wana kazi nzito

    Jibu

    Everton walijitahid sana

    Jibu

    Kazi ipo hapo

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.