KCB Waweka Mzigo VPL

Benki ya KCB leo Septemba 16, imesaini mkataba na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF), kwa ajili ya kudhamini Ligi Kuu Bara, kwa mkataba wa mwaka mmoja kwa msimu wa 2020/21.

Hafla hiyo fupi imefanyika ukumbi wa Hoteli ya Serena, Dar es Salaam, ikiwa ni mara ya nne KCB kuendelea kufanya udhamini ndani ya Ligi Kuu Bara.

Christine Manyenye, Mkuu wa Idara ya Masoko wa KCB,  amesema:”Tuna furaha kubwa kwa kuingia mkataba na TFF wenye thamani ya milioni 500 na kodi ndani yake. Licha ya ugumu ambao upo kwa sasa kutokana na uwepo wa Janga la Corona ambalo limevuruga masuala ya uchumi.

“Malengo yetu ni kuona kwamba kunakuwa na ushindani ndani ya ligi pamoja na kuona kwamba kila mwanafamilia ya michezo anafurahi na ajira inapatikana kupitia michezo.

“Pia KCB lengo letu ni kuona kwamba tunaweza kuwa sehemu ya mafanikio ya wengine pamoja na kukuza uchumi wa nchi kwa kuwa michezo ni ajira na tunalipa kodi,” amesema.

Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Steven Mguto kwa niaba ya Rais wa TFF, Wallace Karia amesema kuwa sapoti inayotolewa na KCB ni kubwa na kwa kufanya hivyo ni kurudisha kwa jamii na sehemu ambayo imekuwa na mwitikio mkubwa.

“Tunaingia mwaka wa nne tukiwa na KCB, tuna uhakika kwamba hiki wanachokitoa ni kikubwa kwa ajili ya masuala ya michezo,” amesema Mguto.


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

36 Komentara

    Ooh deal kubwa Sana hili wamelamba kaz Kwa team kupamba maan akutakua na ukata

    Jibu

    Pongezi nyingi ziende kwa KCB safi sana

    Jibu

    Kazi kwao wachezaji,kuwaaminisha kcb kwamba hawajafanya makosa kudhamini ligi kuu!!

    Jibu

    Watoto wa mjini wanakuambia mambo marshi#meridianbettz

    Jibu

    Ligi ya bongo imekuwa na ushindano kiasi
    Kwamba inavutia mpaka wawekezaji nje ya nchi

    Jibu

    Mambo mazuri kwa KCB kudhamini timu zetu ,wachezaji watatamba kwa nafasi zao

    Jibu

    Safi sana KCB

    Jibu

    Kcb mmefanya Jambo zuri

    Jibu

    Safii sana kcb

    Jibu

    Kcb mko juu

    Jibu

    Wametisha

    Jibu

    Wako juu

    Jibu

    Imekaa vyema hii

    Jibu

    Ligi ya bongo msimu huu imekuwa na ushindani mkubwa tu pongezi kwa KCB kwa udhamini wao

    Jibu

    Pongezi sana KCB kwa udhamini mlio towa na tunategemea kuwa wapo wengine ambao wataiga mfano wenu Wa kudhamini michezo yetu ifeke mbali na kutumiza vioaji vyao

    Jibu

    Jambo zuri katika kuinua sekta yetu ya Michezo, Pongezi nyingi kwa KCB

    Jibu

    KCB Safi sana 👍@meridianbettz

    Jibu

    pongezi nyingi kwa kcb

    Jibu

    Kcb safi sana

    Jibu

    Kazi nzuri waliifanya kbc hii itawafanya kujitangaza ndani na nje ya nchi

    Jibu

    KCB wametisha.

    Jibu

    Safi sana KCB kwa uwekezaji

    Jibu

    Safi sana KCB

    Jibu

    Hongera KCB kwa udhamini

    Jibu

    Pongezi kwanza kwa Bank ya Taifa Ya Kenya kazi kwa wachezaji kupanda juu na si kushuka mechezoni!!

    Jibu

    Pongezi nyingi sana KCB

    Jibu

    Kwa stahili hii inaweza kupelekea soka letu la Tanzania kupanda

    Jibu

    KBC Mambo ni moto

    Jibu

    KCB wamefanya Jambo zur sana 👍

    Jibu

    KBC safi

    Jibu

    Vzr sana

    Jibu

    Wanastahili pongezi KCB

    Jibu

    Ligi ya bongo msimu huu imekuwa na ushindani mkubwa tu pongezi kwa KCB kwa udhamini wao

    Jibu

    Congrat KCB bank kuweka umatemate Vpl

    Jibu

    KCB wamefanya vyema sana kwa uzamini makini

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.