Nyota wa PSG, Neymar amefungiwa kucheza mechi 2 kufuatia kadi nyekundu aliyoipata kwenye mechi waliyopoteza dhidi ya Marseille.
Nyota huyu alikuwa mmoja wa wachezaji watano waliolimwa kadi nyekundu kwenye mechi ambayo PSG walichapwa bao 0-1.
Neymar alipewa kadi nyekundu baada ya kuthibitishwa na VAR kuwa alimpiga nyuma ya kichwa mpinzani wake Alvaro Gonzalez, suala ambalo katika kulipana visasi dimbani, baadaye likaleta taharuki na mabishano makubwa dakika za lala salama za mchezo.
Baada ya mechi nyota huyu alilalamika kuwa Gonzalez alimtupia matamshi ya kibaguzi, na yeye alishindwa kuvumilia hilo. Klabu ilitoa tamko la kuwa wanasimama pamoja na Neymar kama alitamkiwa matamshi ya kibaguzi.
Baada ya kikao cha nidhamu maamuzi ya kufungiwa mechi mbili yana waathiri Neymar na Leandro Paredes, wakati Layvin Kurzawa akifungiwa kucheza mechi 6. Dario Benedetto na Houssem Aouar wamepewa adhabu ya kukosa mechi moja huku Jordan Amavi akizikosa mechi 6.
Angel Di Maria anatarajia kuonekana kwenye kikao cha nidhamu Jumatano ijayo, wakati Alvaro Gonzalez akiwa chini ya chunguzi na LFP.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Ester jackson
Duuuh hatari sana jamani wachezaji wete waliofungiwa katika timu zao wrote wanategemewa katika kikosi huu ubaguzi utaisha lini mungu ibariki Tanzania yetu yenye amani
Dorophina
Hayo Ni majanga wachezaji wote wanategemewa na klabu zao sijui itakuwaje
Shani
Sio poa
Ernest
Ni kweli kama Professional player Neymar hakutakiwa kureact namna ambavyo alifanya na wachezaji wengine pia lakini kama Neymar alitamkiwa maneno ya Kibaguzi hili swala linatakiwa liangaliwe kwa undani zaidi na kupatiwa ufumbuzi
Adelta
Hapa Kazi ipo @meridianbettz
felister
sad news
Nasra
Duh hatarii
Fatina
Duuh majanga!
Angelina
Hili swala zito
Sauda
Pole sana Neymar
Elika
Dah majanga gani haya
Mwanahamisi
Duuh hatari
Khadija
jamani majanga gani tena haya#meridianbettz
Caroline
Lakini wasikae upande mmoja.na Yule aliemtamkia maneno ya kibaguzi achukuliwe hatua
sylvester
Sheria imefuata mkondo wake,Soka ni mchezo wa furaha sio kulipizana kisasi uwanjani kwa ugomvi.P S G mwaka huu watakua na wakati mgumu sana kutwaa ndoo ya ya Ufaransa
Mwajumah
Duuh atari
Zeiyana
PSG kwa sasa wanaali ngumu hadi kuja kufuzu kombe la ubingwa ufarasa kazi ya ziada ifanyike
Lydia Emmanuel Magoti
Duu noma Sana wamechekecha mpaka Sheria ufata mkondo PSG wangalie Sana kabumbu wanalo licheza
Revina
Sheria imefuata mkondo wake ,hakutakiwa kumfanyia hivyo ni hatari sana
Gabriel
Kiukwel Gonzalez alimtupia matamshi ya kibaguzi na yeye alishindwa kuvumilia hilo Klabu ilitoa tamko la kuwa wanasimama pamoja na Neymar kama alitamkiwa matamshi ya kibaguzi hiyo sheria ungeangalia upande wa pili
Saupha mohamed
Duuuh huu ni mkosi sasa
aisha
Sijui itakuaje mbona majanga
Juliet
Mmh mbona kisanga
Theonestina
Duuuh majanga
Janeflora malisa
Kaz kaz
Neema
Majanga haya
Theckla
Inasikitisha Sana
Samiah
Duuuh
Amiri Kayera
Uzur adhab aijawa kubwa zaid
Theonestina
Duuuh
David Pere
Duuuh hatari sana jamani wachezaji wete waliofungiwa katika timu zao wrote wanategemewa katika kikosi huu ubaguzi utaisha lini mungu ibariki Tanzania yetu yenye amani
Povel
Majanga
Rose kapinga
Unakumbushwa tuu ujue wajibu wako,na ujifunze kutokana na makosa uliyoyafanya!!
magdalena
wamefanya vyema sana juu ya kufanya maamuzi ayo itakuwa funzo kwa watu wengine
Njiku
Hasira hasara kaikosti timu tayari licha ya kukosewa na mchezaji wa timu pidhani
Hopemwaikuka
Eeh ! Sio poa
Issa
Sio maamuz sahih kwa neymar ubaguz umefanyika kwake
Tahiya
Siyo Sawa kabisa vipi ili tatizo la ubaguzi kwa namna hii litaisha kwer