Liverpool Kumalizana na Fabio Carvalho

Klabu ya Liverpool wameshakubaliaana na mchezaji Fabio Carvalho kuhusu uhamisho wake wa kutua kwenye viunga vya Anfield kwenye majira ya kiangazi huku uhamisho huo ukiwa na thamani ya £7.7milion.

Awali kwenye dirisha la usajiri la mwezi january klabu ya Liverpool ilikaribia kumsajiri mchezaji huyo wa pembeni na mpaka siku ya mwisho ya uhamisho huo ulishindaka n dirisha la usajiri kufungwa.

Mkataba wa Carvalho na klabu yake ya Fulham unakwishwa kwenye majira ya kiangazi. lakini anaweza kuondoka bure ikiwa atasajiriwa na klabu yoyote nje ya Uingereza wakati klabu ya Uingereza itakayotaka kumsajiri itabidi ilipe klabu ya Fulham gharama za kisheria ambapo tayari liverpool wameshalipa.

Carvlho ameshakubalina matakwa binafis na klabu ya Liverpool na tayari ashafanyiwa vipimo vya afya, na anatarajiwa kuhiunga na klabu hiyo july 1 kwa ada ya £5 million, huku liverpool wakikubali kulipa asilimia 20 ya ada na baadae wataogeza £2.7 million.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

 

Acha ujumbe