Kipa wa Ujerumani na Barcelona, Marc-André Ter Stegen amewaonya Napoli kwamba Barcelona ‘mara chache mno’ wamekuwa katika kiwango kizuri kuliko walivyo sasa: “Tunataka kutumia fursa yetu vilivyo.”
Ligi ya Uhispania itaanza tena baada ya siku 10 zijazo, wakati Barcelona wakijiandaa kukutana na Mallorca mnamo Juni 13 na kipa huyu wa Barca ana matumaini timu yake itafanya vyema ligi ikiendelea.
Staa huyu wa Ujerumani amekuwa mmoja wa mashujaa wa Camp Nou kwa msimu wa 2019-20 lakini bado amehusishwa sana na mpango wa kuondoka klabuni hapo. Lakini kwa upande wake anasisitiza kuwa hataondoka msimu huu wa joto.
“Haiwezekani kwamba niondoke Barcelona msimu huu wa joto. Tayari kumekuwa na mkutano wa kwanza kati ya wakala wangu na kilabu, kisha ikaibuka hali hii ya coronavirus na hatukupata wakati wa kuzungumza juu ya mkataba.
“Wakati ambao watu wengi wana wasiwasi juu ya maisha yao, tumeamua kuahirisha. Ninajisikia vizuri hapa Barcelona, pia kwa sababu familia yangu inajisikia vizuri hapa.”
Ter Stegen basi aliwaonya wapinzani wao, pamoja na Napoli, kwamba Barcelona wako tayari kutumia kwa hali na mali fursa yao katika Ligi ya Mabingwa kwa msimu huu.
“Kimsingi, mara chache tumekuwa katika kiwango hiki, lakini Real Madrid hawatatupa chochote [kwenye Ligi]. “Kuhusiana na Ligi ya Mabingwa, tuna nafasi ya kupita na tunataka kutumia fursa hiyo.
“Kwa kweli mpira mpya utakuwa tofauti. Mechi bila mashabiki sio nzuri kihivyo, lakini mpira utasonga tena na ndivyo tunataka.”
-Marc-André Ter Stegen


Neema hassan
Asante kwa taarifa#meridianbettz
Tahiya
Ni vizur kujiamini na kuamini uwezo wko na timu yko kama mchezaji hii inamfanya mpizani wako kuwa na hofu nawe
aisha
marc-Andree nakubali sana halafu na yeye mwenyewe yuko vizuri
Devotha
Ni vizuri! Asante #meridianbettz kwa taarifa
Rehema
Ni habari mzuri sn asnte meridianbet
Mariam mtandama
Asante meridianbet #kwa taarifa
winfrida
marck andre umeongea kweli
Ester jackson
Nimependa sana ujasiri wa kipa Marc mana juko tayari kupambana hats kama walikuwa katika mapumziko ya ugonjwa wa corona na kuonyesha amejiandaa vema
Rehema Dickson
Kwa kipind hiki mech zitapao Sana kucheza bila mashabiki sio nzuri ila akuna budi kufanya ivyo kutokana na janga lenyewe la corona,,Yan apa kutakua hakuna lile vibes tulikua tunaliona kwa wachezaji
Warda
Msimu wa kuuza wachezaje huu ni balaa #Meridianbettz
Juliana
Waanze tu kucheza maana wapenda kabumbu tulimiss
Hope mwaikuka
Hali ni tete kwa sasa
Agness
Nihabari njema
Elika
Andre mtu makini sana kwa upande wangu namuelewa mno
Sadick
Ter Stegen ni moja ya magolikipa wenye clean sheets nyingi Barcelona. Anajua anachosema, nasubiri kuona maneno yake#meridianbettz
Evaluziga
Kwa kipindi hiki wacheze bila mashabiki Hali ikikaa sawa mashabiki wataingia uwanjani
Antony Luseno
Good news #meridianbettz
Samiah
Nihabari njema sanaaa hz
Neema juma
Kipa wa ujeruman na Barcelona hajakosea yuko sahihi kabisa
David pere
Ni wazo zuri sababu wakiogopa mkwara wake yeye kazi yake unaenda vizuri
Aziza mushi
Asanten kwa habari meridian.
Hamidu
Hayo mawazo yake!! Ila tusubiri itakavyokiwa
felister
good news
Asha
Namkubali Sana goli kipa mzuri sana
Gabriel
Yuko sahihi
Khadija
hali ishakuwa mbaya kwa sasa#meridianbettz
Frank Patrick
Ninauhakika Barca anapita kwenye hatua hii
Theckla
Marc jasiri sana
Ernest
Well said Ter Stegen, Let’s get the job done.
Shafii
Gud newz
Emmy cleopa
Ahsante kwa taarifa #meridianbettz
mwakalosi
aache uoga yeye apige kazi pasipo kuwaogopesha watu soon tutamuona tena
Povel
Kipa mzur sana
Amani
Staa huyu wa Ujerumani amekuwa mmoja wa mashujaa wa Camp Nou
Zeiyana
Wanaali ngumu sana wavhezaji wakati huu so inatakiwa juudi kubwa itumike ili kuwafariji wapambanaji wetu
Caroline
Mtu mzima hatishiwi nyau..
Magdalena
Jambo alilolisema ni la kweli
Mwajuma
Abakize Akiba ya maneno kwa sababu mpira autabiriki
Mwanahamisi
Kipa mzuri sana
Theonestina
Wachezaji wanapata wakati mgumu Sana kucheza bila mashabiki.wavumilie tu.maana ni kipindi Cha mpito.corona ikiisha mashabiki wataendelea kushabikia Kama kawaida.
dorophina
Hayo Ni mawazo yake sisi mashabiki tunasubilia vitendo
Kenani
Mi nasubir burdani sitak maneno
Adelta
Asante meridianbet kwa taarifa
Salma
Yupo sahihi
Isaya massawe
Tusubiri tuone itakavokua ila ni golikipa mzuri sana
#meridianbettz
Ester mmakasa
Tuwe wapole tuone anamaanisha au ndo blablaa.
Lydia Emmanuel Magoti
Mimi nasubili burudani maneno badae
Sabrina
Maoni:good news