Marcus Rashford Nje Mpaka Oktoba.

Kuelekea msimu mpya wa soka 2021/22, Man United huenda wakamkosa Marcus Rashford mpaka mwishoni mwa mwezi Oktoba.

Rashford alipata majeraha ya bega msimu uliopita lakini aliendelea kuitumikia United pamoja na Timu ya Taifa ya Uingereza kwenye mashindano ya Euro 2020.

Baada ya kumalizika mashindano ya Euro, Marcus Rashford alifanyiwa uchunguzi wa bega lake jumanne na anatakiwa kufanyiwa upasuaji mapema iwezekanavyo.

Kwa hali ilivyo, Rashford atafanyiwa upasuaji wa bega mwishoni mwa mwezi Julai na atakua nje ya uwanja kwa takribani wiki 12.


JIUNGE NA FAMILIA YA MABINGWA!

Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!

Italia, Italia Bingwa Euro 2020., Meridianbet

JIUNGE SASA!

Acha ujumbe