Mwamuzi wa zamani Mark Halsey alisema kuwa klabu ya Atletico Madrid haikuwa na bahati na mwamuzi kwenye mchezo dhidi ya klabu ya Manchester City ambapo mchezo juo uliisha kwa sare ya bila bila.

Tatizo la lilianzia pale tu Felipe alipokuwa anamtoa nje ya uwanja Phil Foden ambaye alikuwa ameumia na Stefan Savic nae alingana na Felipe kumuondoa Foden tena kabla ya wachezaji wa Man City kutokea.

Mark Halsey

Mwamuzi huyo wa zamani Mark Halsey alisisitiza kwamba, mwamuzi Daniel Siebert alishindwa kuongoza mchezo huo, na kupoteza umiliki wa mchezo huo.

“Mwamuzi wa kijerumani Daniel Siebert, alikosa nafasi ya kumiliki mchezo na kuzidi kushindwa kuondoa mbinu za ugomvi ambazo Atletico Madrid walizitumia.

“kwa haki City walipata bahati kidogo baadae ambapo timu ya nyumbani ingapaswa kupata penati. Unapokwenda kuangalia marudio, unaweza kudhani kwamba Cancelo hakugusa mpira, alimgusa Correa kwenye mguu, kuna muingiliano ya mwili pale ni ngumu kwa mawmuzi kuweza kuona.” Alisema Mark Halsey


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa