Mahambuliaji wa klabu ya Manchester United Mason Greenwood ambaye amesimasha na klabu hiyo kutoka na kashfa ya kubaka na kujeruhi bado uchunguzi unaendelea japokuwa yupo nje kwa dhamana.

Hivi karibuni kulikuwa kuna tetesi kwenye mitandao ya kijamii kuwa Mason Greenwood hatakumbuna na adhabu yoyote, baada ya kukamatwa mwezi january kwa kosa la kumpiga na kumbaka mpenzi wake ambaye alichapisha machapisho kwenye mitandao ya kijamii akionesha ukatili aliokuwa anafannyiwa na mchezaji huyo.

Mason Greenwood, Mason Greenwood Bado Hakieleweki, Meridianbet

Mason Greenwood tokea akamatwe kutokana kesi hiyo, klabu ya Manchester United ilimsimamisha na kumuondoa kwenye kikosi na hakuruhusiwa hata kufanya mazoezi na klabu hiyo.

Awali kulikuwa na tetesi kuwa Mason Greenwood angerejeshwa kikosini June, na pia angetarajiwa kusafiri na kikosi cha timu hiyo ambacho kinajiandaa na safari ya pre-season nchini Thailand na Australia lakini klabu ya manchester imekanusha na kusema kuwa bado yupo kizuizini mpaka pale atakapthibitika hana hatia.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa