Fainali ya NBA inazidi kunoga wakati huu ambao michezo 5 kati ya 7 imeshamalizika. Golden State Warriors wanaukaribia ubingwa msimu huu.
Ushindi wa pointi 104-94, unawapa matokeo Warriors matokeo ya jumla 3-2 dhidi ya Boston Celtics na kuisogeza timu hiyo kwenye ubingwa msimu huu.
Wanahitaji ushindi 1 tu kutangazwa mabingwa wa NBA 2022 ambapo, mchezo wa 6 utaamua kama wanashangilia ubingwa au Celtic watapindua meza na mchezo kuamuliwa kwenye mchezo wa 7.
Licha ya Steph Curry kushindwa kupachika mipira 9 ya alama 3, Andrew Wiggins aliibeba timu mabegani mwake na kupachika jumla ya pointi 26 kwenye mchezo huo.
ALIYA’S WISHES
Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.