Klabu ya Lazio inayoshiriki ligi ya Italia Serie A imemtangaza Maurizio Sarri kuwa kocha mkuu wa timu hiyo kuanzia msimu ujao wa 2021/2022.

Maurizio Sarri anachukua nafasi ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo Simeone Izaghai ambaye amejiunga na Inter Milan akichukua nafasi ya Antinio Conte.

Usajili wa Maurizio pale Lazio umewashangaza wengi kufuatia na ukweli kuwa yeye ni mtu anayependa sana kuvuta sigara uwanjani kitu ambacho kilipelekea kufukuzwa kazi pale Juventus agosti mwaka jana.

Sarri anategemewa kufanya kazi na msaidizi wake Giovanni Martusciello pamoja na benchi la ufundi chini ya Marco Ianni, Andrea Pertugio na Massimo Nenci.

Baada ya kufukuzwa kazi Sarri alikuwa meneja wa benki mpaka pale alipoitwa kwenda kuwa kocha mkuu wa Lazio na anategemewa kuwa hapo mpaka mwaka 2023 kama kandarasi yake inavyosema.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa