Meridianbet Tanzania katika kueelekea kufunga mwaka wa 2021 imefanya tukio la ugawaji zawadi na usaidizi kwa baadhi ya wafanya biashara walio katika maeneo rasmi maeneo ya Tabata Segerea jijini Dar es Salaam,

Zoezi hilo lililofanyika eneo ambalo lipo karibu na moja ya maduka yao makubwa yaliyo eneo hilo maarufu kama maxi 107 , Baadhi ya wafanyabiashara walionufaika na zoezi hilo wameishukuru Meridanbet kwa kuona umuhimu wa kugawa miamvuli kwa ajili ya kujikinga na mvua na kukinga biashara zao.
“kwakweli hili lililofanywa na merdianbet halijawahi kufanywa na yeyote kwatika sekta yao amaa kweli Meridianbet kiboko, Leo matunda yangu hayatalowa wala kupigwa na jua, na baada ya kazi leo naenda kuset mkeka wangu wa mechi za weekend” Alisema bwana Asenga mfanya biashara za matunda Tabata Segerea.
Mabingwa Meridianbet hawajawahi kukuacha mnyonge hasa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu, kasino maridhawa ya Carnaval Jackpot inakupa thamani ya dau lako. Kuwa mmoja wa washindi leo hii.


