Taarifa kutoka Roma zinataja kuwa meneja mpya wa Roma, Jose Mourinho anataka kuwa na golikipa wa Manchester United David de Gea klabuni hapo.

Baada ya kutrangazwa kama kocha mkuu wa timu hiyo ya Serie A, Mourinho tayari ameanza kuweka mipango ya msimu ujao, na anatazamia kumleta De Gea roma kutoka Ligi ya Primia.

Kwa mjibu wa TodoFichajes, meneja huyu mwenye miaka 58 anajipanga kukamilisha uhamisho wa De Gea kutoka kwa mabingwa wa mara 20 wa Uingereza, ambaye anaweza kuruhusiwa kuondoka msimu ujao wa joto.

De Gea amepoteza nafasi yake kama golikipa namba moja dhidi ya Dean Henderson, licha ya United kudaiwa kuwa wapo tayari kuendelea kuwa na golikipa huyo.

Ripoti zinasema kuwa dau la €25 linaweza kutosha kabisa kumsajili nyota huyu wa zamani wa Atletico Madrid, wakati kikosi cha Ole Gunnar kikiwa na mpango mkubwa wa kupunguza bili ya malipo ya mshahara.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

Mourinho, Mourinho Anamtaka De Gea Roma!, Meridianbet

SOMA ZAIDI

12 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa