Newcastle United Watampiku United kwa Dembele?

KLABU ya Newcastle United inaripotiwa kuwa inaongoza Manchester United katika mbio za kumsajili winga wa Barcelona Ousmane Dembele.

Licha ya kusumbuliwa na majeruhi ya mara kwa mara, Dembele akiwa chini ya miezi saba kwenye kandarasi yakeya sasa kumesababisha nia ya kuhitaji ya huduma yake kwa vilabu kadhaa Ulaya.

Wakati Barcelona wanafanya kila linalowezekana kumsainisha mkataba mpya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24, staa huyo anaweza kuanza kuzungumza na vilabu vya kigeni mwezi Januari.

Ousmane Dembele

Kwa mujibu wa ripoti kutoka Uhispania, Newcastle na Man United ni kati ya vilabu ambavyo vinaweza kuwa tayari kuwaondoa wababe hao wa Catalan kwenye meza ya mazungumzo na nyota huyu.

Barcelona, ambayo inajulikana kuwa na matatizo ya kifedha kwa sasa, inasemekana kumuwekea Dembele kandarasi yenye thamani ya £9.4m kwa mwaka kubaki Camp Nou.

Hata hivyo, inaonekana kwamba Newcastle, wakiungwa mkono na wamiliki wao wapya, wako tayari kulipa pesa nyingi zaidi kupata huduma za Dembele.


AGENT JANE BLONDE AMEREJEA MSIMU WA SIKUKUU.

Unaweza kujishindia mamilioni katika kasino yako pendwa ya meridianbettz, mchezo wa Agent Jane Blonde Return ni moja ya michezo inayopendwa kwasasa huku ikiwafanya wachezaji kuwa mamilionea kila siku. Unasubiri nini! ungana na Agent Jane Blonde akufanye milionea.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.