Iko wazi kwa muda sasa kuwa Paul Pogba hana furaha tena na uwepo wake Man United. Amekuwa akihusishwa na kuihama klabu hiyo.
Kumekuwa na maswali juu ya kituo kinachofuata cha Paul Pogba, wakati sintofahamu ikitawala hatma yake na United.
Wakala wake Mino Raiola tayari alishaweka wazi kuwa sasa Pogba anahitaji kubadilisha mazingira, na kubadili hali ya hewa baada ya changamoto alizopitia United siku za hivi karibuni.

Pogba amekuwa akihusishwa na kurejea Juventus, lakini pia kwenda Real Madrid. Lakini nyota huyu alichapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa hana matarajio ya kuondoka klabuni hapo mapema.
Hata hivyo, Raiola ambaye anaonekana tayari ana karata zake mezani juu ya uwezekano wa kukamilisha uhamisho wa nyota huyu mapema, anasema kumuondoa staa huyu United kwa dirisha dogo la mwezi Januari ni Shughuli sana, anaweza kulazimika kusubiri mpaka dirisha lijalo la msimu wa joto.
“Mwezi Januari wachezaji wakubwa huwa ni kazi ngumu kuhama. Wacha tuone nini kitajiri msimu wa joto.” – Raiola juu ya Pogba
BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!



Adelta
Mashabiki tusubiri tuone anaenda wapi?
Khadija
Mashabiki tunasubili tuone
Rahma
Mashabiki yao macho wanangalia tuone
Sarah
Mh ngoja tuone ataenda wapi
Dorophina
Mambo yameshakuwa mengi Pogba ni bora atafute chaka tu
Hopemwaikuka
Safari njema kwake
Issa
Asepe tu united imemchoka
Saupha mohamed
Kil la kheri
Amani Maeda
Kijasho kweli si mchezo
neema hassan
Habari njema
Isaya massawe
Aondoke tuu
Mwanahamisi
Mashabiki tunasubili kwa hamu
Samiah
Aendetu
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Pogba niwa man U atakama akisepa Pogba uipenda man U moyoni kwai Mambo Kama yashaa kaa vibaya atabaki kusalia apo
Emmanuel dalaya
Meridian hongeren kwa kutupa habar za michezo
farida ahmad
Habari njema
Tatu
Habari njema
warda
Aondoke tu mie nisha choka
Latifa juma mohamed
Kila la kher