Kingsley Coman wa Bayern Munich alikuwa miongoni mwa wachezaji mbadala ambao Man Utd walikuwa wakiwatupia jicho wakati wa dirisha la uhamisho la msimu wa joto baada ya kukwama kwa Jadon Sancho, ambaye alibaki Borussia Dortmund.
Hata hivyo, inaonekana United hawana bahati baada ya Bayern Munich kuweka wazi kuwa nyota wao wa miaka 24, Kingsley Coman hayupo sokoni kwa sasa.
Kwa mujibu wa Sky Sport, nyota huyu alikuwa miongoni mwa wachezaji waliokuwa wanafikiriwa kutimba United kwa mkopo.
Kingsley Coman alikamilisha dili la uhamisho wa kudumu na Bayern Munich akitokea Juventus mwaka 2017. Amekuwa sehemu muhimu ya Kikosi cha Bayern katika kampeni ya mwaka uliopita.
Ameshiriki vyema katika kuutetea ubingwa wa Bayern Bundesliga, na pia ndiye aliyefunga bao la pekee kwenye fainali za Ligi ya Mabingwa dhidi ya PSG msimu uliopita.
Kwa mujibu wa mwenyekiti wa klabu, Karl-Heinz Rummenigge, klabu inaonekana haipo tayari kumpoteza Kingsley Coman kwa sasa akiweka wazi kuwa nyota huyu hauzwi.
BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!
Adelta
Kingsley coman ni mtu makini Sana
Bayern munich hawawezi kumwachia kwa sababu ameonyesha mabadiliko makubwa
Khadija
Duh!!!!
Rahma
Duuh Sasa itakuwaje
Dorophina
Kingsley hawezi kuondoka Bayern Munich kea sasa bado wanamuhitaji
Hopemwaikuka
Imekaa vbaya hii
Issa
United maongez mengi kuliko vitendo
neema hassan
Asante kwa taarfa@meridianbettz
Saupha mohamed
Dhuuu
Amani Maeda
Itapendeza akipata nafasi
Isaya massawe
Wafanye bidii
Mwanahamisi
Akipata nafasi itapendeza sana
Samiah
Makubwa hayo tena
Lydia Emmanuel Magoti
Duu Mambo yashaa pagaranyika sasa
Emmanuel dalaya
Apa kwel burudan ndio nyumban
farida ahmad
Patakuwa hapatoshi
Tatu
Mambo yameaza kualibika
warda
Man U hawana hata bahati
Latifa juma mohamed
Duuh