Nitajenga Yanga Tishio Afrika - Nabi

Kocha Mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi amesema anaendelea kukisuka kikosi chake kiwe Bora zaidi na tishio, lakini ataendelea kuwa mkali kuhusu suala la nidhamu ndani na nje ya uwanja, kwani timu hiyo ni kubwa zaidi ya mchezaji.

nabi

“Tangu nimekuja hapa nimekuwa nikifuatilia mienendo ya wachezaji wangu, nataka kujenga kikosi imara kitakachoogopeka Afrika, nitafanikiwa katika hilo iwapo suala la nidhamu  litakuwa vizuri.”

“Nami nitasimamia hilo bila kuangalia kiwango cha mtu,  anayeweza kufuata matakwa ya klabu tutaendelea kuwa naye, atakaeshindwa kuendana na kasi yetu milango iko wazi, malengo yetu ni kufanya vizuri katika michuano ya kimataifa hapo mwakani,” alisema.

Nabi alisema kikosi chake kinahitaji kufanyiwa marekebisho ili kuendana na ukubwa wa timu kwa kufanya usajili wa wachezaji wenye uwezo mkubwa, hivyo anatarajia kufanya usajili katika baadhi ya maeneo ili kufanya maboresho.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

 

7 Komentara

  Ngoja tuone

  Jibu

  Mashabiki tunasubilia mafanikio tu

  Jibu

  Tunasubiri tuone

  Jibu

  Mambo ni moto

  Jibu

  Mambo ni moto

  Jibu

  Mambo moto

  Jibu

  Wape salaam

  Jibu

Acha ujumbe