Klabu ya Rangers ya nchini uskochi rasmi imerejea katika ligi ya mabingwa barani ulaya baada kuitupa nje klabu ya PSV Eindnhoven.

Klabu ya Rangers ambayo ni miongoni wa klabu zenye mafanikio makubwa hasa nchini uskochi ilikua ikikosa michuano ya ulaya kwa misimu kadhaa kitu ambacho kilikua sio kizuri wala cha kufurahisha kwa klabu hiyo kongwe.

rangers, Rangers Yarejea Ligi ya Mabingwa Ulaya., MeridianbetRangers wanafanikiwa kuwatoa klabu ya Psv Eindnhoven ya uholanzi mchezo huo ulikua unaelezwa kama ni vita ya waholanzi kwasababu ya walimu wanaovinoa vilabu hivo wote wametoka nchini uholanzi.

kocha wa Rangers Giovanni van Bronckhorst raia wa uholanzi gwiji huyo wa zamani vilabu vya Arsenal na Barcelona alikutana na raia mwingine wa kiholanzi kocha wa PSV Ruud van Nistelrooy gwiji huyo wa zamani wa vilabu vya Man United na Real Madrid alitupwa nje ya michuano na muholanzi mwenzie hi ndo sababu mechii ikaitwa vita ya waholanzi.

PS walitupwa nje ya michuano ya ulaya katika uwanja wao wa nyumbani  baada ya jana PSV kupoteza kwa goli moja kwa sifuri na matokeo ya jumla kua goli tatu kwa moja kwasababu mchezo wa kwanza uliisha kwa suluhu ya goli mbili kwa mbili Rangers wakiwa nyumbani.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa