Ralf Rangnick: Mlipuko wa Corona Umeharibu Maendeleo Yangu

Bosi wa muda wa Manchester United,Ralf Rangnick anasema sintofahamu inayosababishwa na Covid-19 imeathiri maendeleo yake tangia alipochukua majukumu ya umeneja klabuni hapo.

Rangnick hajafungwa kwenye mechi nne tangia alipomrithi Ole Gunnar Solskjaer mwishoni mwa mwezi Novemba.

Kwa mujibu wa bosi huyu, mlipuko wa Covid-19 ambao umepelekea kufungwa kwa kituo cha mazoezi cha Manchester United Carrington, pamoja na kusogezwa mbele kwa mechi mbili kumefanya kazi yake kuwa ngumu zaidi.

Ralf Rangnick: Mlipuko wa Corona Umeharibu Maendeleo Yangu
Ralf Rangnick

 Rangnick anaamini kuwa bado ameshindwa kufikia malengo yake, sababu kubwa ikiwa ni Covid;

“Kila kocha. kila kocha mwenye nia ya mafanikio makubwa, na hakuna utofauti kati yangu na makocha wengine kwenye eneo hilo, wanataka kupiga hatua za haraka na hatua kubwa kusonga mbele. Lakini ili uweze kufanya hivyo, unapaswa kuwa na uwezo wa kufundisha”


KUWA MILIONEA MSIMU WA SIKUKUU NA SAHARA RICHIES

Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.