Thomas Tuchel: Haiwezekani Chelsea Kutwaa Taji!

Meneja wa Chelsea amekiri kuwa kutokana na changamoto kadhaa, ni ujinga kudhani kuwa kikosi chake Chelsea kinaweza kutwaa taji msimu huu.

Chelsea waliruhusu goli la kusawazisha dhidi ya Brighton dakika ya 91 Jumatano, huku Reece James na Andreas Christensen wakiungana na orodha ndefu ya majeruhi kwa klabu.

Kwa sasa, Chelsea wapo nyuma ya vinara wa Ligi Kuu Uingereza Manchester City kwa pointi nane, na matumaini ya mbio za ubingwa yanayoyoma kwa sababu ya changamoto za Covid-19 na orodha kubwa ya majeraha ya wachezaji muhimu walionao.

Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi.

Akizungumzia juu ya matumaini ya Chelsea kwenye mbio za ubingwa, Tuchel anasema kuwa ni ujinga kufikiria klabu hiyo inaweza kutwaa ubingwa kwa mwaka huu.

“Tunaweza kuwa wajinga kufikiri tunaweza kwa changamoto ya Covid na majeruhi. Ni kucheza tu, kila mtu anaweza kuwa mjinga kudhani unaweza kufanya hivyo bila wachezaji 23 ambao wana majeraha.” – Thomas Tuchel


KUWA MILIONEA MSIMU WA SIKUKUU NA SAHARA RICHIES

Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.