Rangnick Kocha Mkuu Austria.

Shirikisho la soka nchini Austria limemtangaza rasmi Ralf Rangnick kama kocha mpya wa timu ya Taifa hilo kwa mkataba wa miaka miwili.

Rangnick anachukua nafasi ya kuingoza timu ya Taifa kuanzia mwishoni mwa msimu huu hadi mwaka 2024. Hii haimaanishi kuwa ataacha na United hapana, Ralf ataendelea kuitumikia nafasi yake ya mshauri wa Manchester United kwa miaka miwili kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali.

Hii ni fursa ya kuona soka la mtaalamu huyu wa 4-2-2-2 likifanya kazi akiwa kama kocha mkuu kuanzia msimu ujao.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe